Tuesday, July 7, 2009

HILI NI BASI LA SHULE HUKO NCHINI JAPAN!!!!



Hii ni taswira ya nje ya basi hilo ambalo huwezi kudhani kama lina miundombinu ya kisasa kabisa.



Hapa ni ndani sasa likiwa lina kompyuta karibu kila kiti ambapo ina rahisisha maisha ya mwanafunzi kujifunza zaidi ulimwengu wa sasa unakwendaje.



Hapa ndo ngoma inaogile wanafunzi wamekwisha ingia ndani ya basi hilo tayari kwa safari ya kuelekea shuleni.

Hivi magari kama endapo yatatua hapa kwetu bongo yatapokelewa vipi? sisi ambao tunaomesha shule za msondo itakuwaje?au watafaidika wale wanaosoma shule za Fm Academia?
naomba maoni yako mdau..........

No comments:

Post a Comment