Tuesday, July 7, 2009

MADEREVA WA PIKIPIKI MPO?



Kuna umuhimu gani wa kuvaa hizi HELMET?kama hali yenyewe ni hii?

2 comments:

  1. Kaka usijali sana kuhusu huyo. Cha kujiuliza ni kuwa angekuwaje kama asingekuwa nayo hiyo. Nadhani uso ungekuwa "chekecheo" kwa uharibifu wake.
    Hapo ndipo "malenga" waliposema "HERI NUSU SHARI KULIKO SHARI KAMILI"
    Blessings

    ReplyDelete
  2. polee wenzio wamejaza wodi ya mifupa pale moi

    ReplyDelete