Wednesday, August 5, 2009

ANA ZI-BEEP HUYU!!


Wakati wengine tukikimbilia kwa vinyozi kuziondoa,lakini mwenzetu huyu anaonesha tamaa ya kuwa nazo.imekaaje hii mdau?

3 comments:

  1. Anataka kuwa kama baba kaazi kwelikweli!!

    ReplyDelete
  2. huyu mtoto asipoangalia atakuwa na ndevu za kunyoa saa moja asubuhi saa nne baadaye zimeota tena.

    ReplyDelete
  3. hivi watoto wa kiume huwaigiza baba zao kunyoa ndevu, je watoto wa kike?

    ReplyDelete