Monday, September 7, 2009

OPRAH WINFREY CRAZY FOR JAY-Z!!Oprah Winfrey ambaye anaripotiwa kutengana na mpenzi wake wa muda mrefu Stedman Graham ameweka bayana kuwa ana mzimia kijana mcheshi Jay-Z kutokana na kuwa jamaa ananukia vizuri (Manukato).

Sijui lakini mi mgeni jamani maeneo hayo, ila sijui mama huyu ataweza moto wa Beyonce ??

2 comments:

  1. haki ya nani vile, nakueleza ukweli ingekuwa ndo wanaume wa bongo angeanza kujigonga kisa kaambiwa ananukia
    tehe, tehe, tehe

    ReplyDelete
  2. Sasa huyu mzee atamnufaisha huyu kijana Jay-Z?Aturie jamani !!!

    ReplyDelete