Monday, October 19, 2009

MDAU JIACHIE KATIKA MOJA YA SOFA HIZI......








Vipi imekaaje hii mdau?unaweza au unaogopa?

5 comments:

  1. kwani hilo la juu kabisa unaruhusiwa kwenda na jiko la mchina, kikaangio (frying pan), mafuta ya kupikia (kukaangia) na chumvi? LOL. you made my day!

    ReplyDelete
  2. Hata mie nachagua hilo cha Juu maana lina uhondo...lol

    ReplyDelete
  3. mi nachagua ilo la mayai

    ReplyDelete
  4. me pia nachagua hlo la mayai bt yasiwe mavinza.....duh!!!!!

    ReplyDelete