Huyu chatu sijui anaconda siku ya kula si inabidi kumnunulia kuku banda zima, au kama ni mbuzi sijui wangapi ndio ashibe itakuwa gharama sana kumfuga, na hawa jamaa mbona kawazoea kama vile ni wenzake Mara nyingine nasikia nyoka huwameza nyoka wenzano
Huyu chatu sijui anaconda siku ya kula si inabidi kumnunulia kuku banda zima, au kama ni mbuzi sijui wangapi ndio ashibe itakuwa gharama sana kumfuga, na hawa jamaa mbona kawazoea kama vile ni wenzake
ReplyDeleteMara nyingine nasikia nyoka huwameza nyoka wenzano
Mungu wangu weee hawa watu ni watu kweli au nao ni nyoka.
ReplyDelete