Sunday, April 17, 2011

KAMA HUIPENDI KAZI YAKO INABIDI UJIFUNZE KUIPENDA KWA SABABU.................


Wewe si mtumishi wa shirika la ugavi umeme huko nchini China pia.........


Si mzibua mitaro hukooo.......Poland.

5 comments:

 1. Hii mpya, anazibua mitaro ya maji machafu...kama ni bongo, sidhani kama kweli utaipenda kazi yako, kama ni mtindo huo!

  ReplyDelete
 2. Mkuu sikuoni, basi mimi naongezea kisa kimoja kilitokea huko UChina, katika kazi hiyo ya kuzibua vyoo, na maji machafu.
  Mtaalamu wanayemuamini akazamia, akafanya vitu vyake humo ndani, ...dakika kumi, zikapita, nusu saa, saaa....hee jamaa wakaona hii mpya unafunga nini huko ndani mbona humalizi, basi wakamsogelea kumtikisa, kimya...baadaye wakaamua kumvuta, ...alipotokeza, kichwa hakuna...!

  ReplyDelete
 3. Ha ha ha hiyo kali emu-three duh......
  Angalia sasa hapo juu inawezekana kabisa kuwa baadhi ya tabia za watoto wa kiume huonekana toka utotoni.

  ReplyDelete