Monday, June 8, 2009

HAKI SAWA KWA WOTE WADAU.


Kwa mujibu wa Wanne Star huyu dada hana mpenzi,mpenzi wake ni huyu nyoka anayeonesha mahaba kwa kumpa mabusu motomoto wakati wa shindano la kumpata mrembo wa huku kwetu Iringa Mwaka 2009.


Sina mengi waungwana kazi nawaachieni nyie.No comments:

Post a Comment