Monday, June 8, 2009

HAWA NI BAADHI YAO WAKO WENGI TU.


Baadhi ya staff wa Ebony Fm,kuanzia kushoto ni Kija,Bahati,Bonny Sly na Hatia a.k.a Salma Miwanja hapa walikuwa katika maandalizi ya kuelekea Mafinga ikiwa ni katika kuadhimisha miaka mitatu ya Radio yetu kuihudumia jamii.

No comments:

Post a Comment