Friday, June 12, 2009

HII NDIYO NJIA YA KUFURAHIA UHAMISHO WA MILIONI 80?... Ronaldo aonekana akitanua na Paris Hilton


Hivi ndivyo walivyofumaniwa Paris na Ronaldo wakiwa kwa ukaribu zaidi.

Paris Hilton akioneshana mahaba na Cristiano Ronaldo katika moja ya sofa katika klabu ya MyHouse ,Hollywood nchini Marekani mapema alfajiri ya alhamisi.

Hapa kila mmoja akiingia klabuni humo kwa wakati wake lakini walipofika ndani kikaeleweka mapeni nje nje duh!!

Hata hivyo Paris alisikika akijigamba kwa shoga zake na kumwagia misifa kedekede kuwa jamaa(Ronaldo) yuko poa ('He's hot, a real athlete - and the chemistry between us was electric).

Na kuongeza kuwa Cristiano ni zaidi ya mpenzi wake wa zamani mchezaji wa ligi ya baseball ya Marekani.

No comments:

Post a Comment