Monday, June 22, 2009

JUA LINAZAMA NDEGE WAELEKEA TUNDUNI SASA!!


Shemu ya mji wa Iringa wadau hapa ilikuwa jioni jua linazama kila mtu katika pilika ya kuwahi nyumbani baada ya mizunguko ya siku nzima hata hivyo kuna sababu pia ya wakazi wa mji kuwahi kurudi makwetu BARIDI.

1 comment:

  1. Iringa imeanza kupendeza now)) nimeipenda sana hii taswira, kaka naomba upige picha nyingine kali za mji wetu then utupostie humu, tafadhali mwana))

    ReplyDelete