Monday, June 22, 2009

NA HUU NI UPANDE WA PILI SASA!!!


Huu ni upande mwingine wa soko kuu la mjini Iringa ambapo kunapatikana chekeche za unga,mabanio ya kusaidia wakati wa kusonga ugali,majiko,mwiko,makarai ya makaangizo,mifagio,faneli hadi mawe ya kujisugulia miguu ushaona mdau kwa hivyo kila kitu burudani ndani ya Iringa.

No comments:

Post a Comment