Monday, June 8, 2009

PLEASE DONT TRY THIS AT HOME!!


Anaitwa Said Ramadhani ama Chaku Master mmoja kati ya wasanii walioambatana na Wanne Star kutumbuiza katika shindano la kumpata Mrembo wa Iringa mwaka 2009,hapa akionesha umahili wake katika kucheza na moto.

No comments:

Post a Comment