Thursday, June 4, 2009

WAKO KAZINI USIHOFU!!


Kushoto anaitwa Edwin bashir na anayefuata anaitwa Bahati Allex watangazaji wa Ebony Fm ambao hii leo asubuhi walifanya mahojiano na warembo wanaoshiriki mtanange wa kumpata mrembo wa Iringa mwaka huu.

Mtanange huo unafanyika siku ya kesho katika uwanja ule ule wa kawaida Highland Hall kwa viingilio vya Sh.10,000 kwa 15,000 tu.

No comments:

Post a Comment