Sunday, June 14, 2009

WADAU WA TUMAINI WALIPOTUTEMBELEA!!!!


Baadhi ya wanachuo wa Chuo Kikuu cha Tumaini mjini Iringa,kitivo cha sheria wakiwa katika chumba chetu cha habari Ebony Fm hapo jana wakati wa ziara yao ya saa kadhaa kujifunza jinsi utendaji wetu wa kazi wa kila siku.

Hapa wakipokea maelekezo kutoka kwa Bonny Sly(mwanzo kushoto aliyekaa) mmoja wa watangazaji wa Ebony Fm.

1 comment: