Wanasema inawezekana kisiwa kikawa cha kwako lakini maji ninayamiliki mimi.
Monday, June 22, 2009
KILA KITU UNAPATA HAPA!!
Kila kitu kinapatikana hapa kuanzia tai,mafuta ya kupaka,pafyum,losheni,sabuni za kuogea aina mbalimbali,soksi hadi steel wire za kusugulia sufuri zako jikoni!! wadau mambo hayo ya IRINGA.
No comments:
Post a Comment