Wednesday, July 1, 2009

KUMBE MUDA UMEWADIA!!!


Wadau kwa muda mrefu nimekuwa kimya,lakini ukimya wangu haukuwa wa makusudi ila ni kwa sababu ya matatizo ya ki-mtandao.
lakini sasa mambo shwari tutazidi kujuzana yale yote unayohitaji kuyajua kupitia humu ndani.
Naomba mnisamehe bure wadau,Nawakaribisheni tupige jaramba kama kawaida yetu.

No comments:

Post a Comment