Wednesday, June 24, 2009

ILIKUWA MOROGORO MWAKA 1997!!!


Ni mfanyakazi wa Ebony Fm na pia ni rafiki yangu wa karibu sana,hapa ilikuwa mwaka 1997 wakati anasoma huko Morogoro katika shule ya sekondari Forest.

Wadau mliojiunga na Forest kidato cha kwanza Mwaka 1997 mnaweza kuitusaidi huyu binti ni nani??

No comments:

Post a Comment