Wednesday, August 19, 2009

DARAJA REFU ZAIDI DUNIANI.
Daraja la Donghai la huko nchini China,daraja hili lina urefu wa kilomita zipatazo 32.5.


Bwawa kubwa la kuogelea lililopo huko Edmonton Albert,nchini Canada bwana hili lina ukubwa wa heka tano. Mabwawa yetu hapa nchini yanashika rekodi gani?

No comments:

Post a Comment