Wednesday, August 19, 2009

HAPPY BIRTHDAY BROTHER!!!


Hongera sana kaka kwa kufikia hatua hiyo,Naomba nikumbushe hivi ni mishumaa mingapi unaizima leo?Zawadi zako ziko pale pale zinakusubiri mdau.

2 comments:

  1. HONGERA SANA kwa siku hii muhimu. Uwe na siku njema ila usile sana keki:-)

    ReplyDelete
  2. Kaakaeehh,!! hongera ila wanasemaga wamefikisha umri gani au???

    ReplyDelete