Tuesday, August 4, 2009

UNA HAKIKA NA UNACHOKIWAZA MDAU??


kwa mtazamo wako wa haraka haraka ni nini hiki ukionacho hivi sasa?

9 comments:

 1. Mmmhhh mi sisemi kitu nisije nikakosea bure nawaachia wengine.

  ReplyDelete
 2. Mtihani huo Allen ebu tusaidie basi...

  ReplyDelete
 3. hata mimi naungana na dada yasinta.

  ReplyDelete
 4. "The way you see the problem is the problem". But remember that if oyou can't see the problem while it's there is another problem.
  Let me keep my tought tight and my mouth shut.
  Bless

  ReplyDelete
 5. HAPO NI ANGA ZA KUMA,,LO! NAHISI ILIKUA TAM KWELI KWELI.

  ReplyDelete
 6. Ebana mwenyekiti wa wadau hiyo inafanana na naniii, lakini ni bedlamp au tablelamp. Naitwa Chax.

  ReplyDelete
 7. Hilo umbo jeupe (nusu duara) la bakuli lililoshikiliwa na stendi/mhimili mweusi (unaoligawa umbo jeupe) itakuwa ni kikalio cha taa ya kusomea au zile za mapambo kama vile chandelier. Hiyo rangi ya machungwa yaliyokolea rangi karibu na wekundu wekundu hivi inayozunguka pembeni (ya mhimili mweusi na rangi nyeupe ya bakuli) itakuwa ni rangi ya ukuta ama sehemu iliyopo hiyo taa.

  ReplyDelete