Sunday, July 19, 2009

INGEKUWA HAPA KWETU ANGEFICHWA NA KUTENGWA HUYU!!!
































5 comments:

  1. That's right. Nashukuru kuwa kwa kuweka haya unaigusa jamii kujua ukweli wa kutodharau na kuwatenga wenye uhitaji.
    Blessings

    ReplyDelete
  2. Ni kweli kabisa! kuna walemavu wengi sana afrika ambao wanafichwa.Inaonekana hawajui kuwa huu pia ni ubaguzi mkubwa tu. Ahsante kwa hili.

    ReplyDelete
  3. vipi mbona hampo tena????????????? au net mpaka tar 3 august?! balaaa

    ReplyDelete
  4. Duh!! Naamini mko salama. Lakini nahisi si ninyi, bali ni mtandao maeneo ya huko kwani naona "line" ya Iringa ime-freeze tangu Jul 22.
    Be safe out there

    ReplyDelete
  5. Yeah kiukweli inahamasisha,wanahitaji ukariribu na upendo pia.

    ReplyDelete