Tuesday, September 15, 2009

KUTANA NA MWANAMKE ALIYEWAHI KUFANYA MAPENZI NA WANAUME 1500.


Mwanamke huyo amekwisha fanya mapenzi na wanaume zaidi ya elfu moja wengi wao wakiwa ni waume wa watu na wapenzi wa wanawake wengine.

Mwanamke huyo Mare Simone, 54, anajiita kiraka cha mapenzi ameamua kujitolea kufanya kazi hiyo kwa lengo la kuwasaidia wanaume na wapenzi wao wenye matatizo ya vyumbani mwao.

Akiwa amehitimu katika kutoa ushauri wa kimapenzi amefanikiwa kutoa somo katika mapenzi kwa watu zaidi ya elfu kumi katika kipindi cha miaka 23 iliyopita.

Mwanamke huyo ana kiri kwamba amewahi kushiriki tendo la ndoa na wanaume wapatao 1,500 na kusisitiza kuwa alichokifanya si haramu bali ni sehemu ya kutioa msaada kwa wenye tabu katika mahusiano yao.

Mare anasema kuwa anajipatia kipato chake cha kila siku kwa kulala na waume za watu na wapenzi wa watu anasema hali hiyo si kwamba yeye ni kicheche lakini klwamba watu humlipa pesa si kwa kulala nae lakini ni malipo ya kazi yake ya ushauri wa kimapenzi.


Anasisitiza kuwa kazi yake ni kuhakikisha kuwa wateja wake wanatoka ofisini kwake wakiwa wamefurahi na kuridhishwa na huduma zake wakiwa na hali ya kujiamini wakati wa kukutana kimwili na wake au wapenzi wao huko waendako.

Mare,anaishi katika kitongoji cha Chelsea,Magahribi mwa mji wa London huko nchini Uingereza anasema kwamba huudumia watu mara tano kwa siku na hivyo kumfanya akutane na watu kutoka sehemu mbalimbali.

Anasema "wateja wangu ni watu wa umri wote,saizi zote,maumbile yote na hata wataalamu wa aina tofauti na huja kwaajili ya matibabu ya kukutana kimwili au kwa ushauri wa kimapenzi tu.

Mama huyo anasema kabla wateja wake hawajamuona kwajili ya matibabu ya kufanya mapenzi lazima kwanza wapime afya zao ili kugundua kama hawana magonjwa ya zinaa na mara zote hulazimika kutumia kinga wanapofanya mapenzi.

Upo hapo mdau? Nipe maoni yako kumhusu mama huyu.

2 comments:

  1. Ama kweli kazi ipo, maisha haya kazi kwelikweli!!!!

    ReplyDelete
  2. huyu mama ni malaya . huwezi kusema hiyo ni kazi. ikiwa umalaya ni kazi basi na wezi ni wafanyakazi wazuri sana.

    ReplyDelete