Monday, September 14, 2009

MDAU UNAWEZA KULA MOJA KATI YA KEKI HIZI??
Zote hizi ni keki mdau,kwa wale tunaopenda kula keki ipi inakuvutia zaidi na unaweza kuila?

4 comments:

  1. Yala haswa! wala nisingukula kwanza ningezimia kabisa.

    ReplyDelete
  2. huu utadhani unakula watu! wala mimi siwezi kuwa na hamu kabisa!!!

    ReplyDelete