Tuesday, September 1, 2009

MDAU UNA FAILI KAMA HILI KUNAKO OFISI YAKO??

Tupo tunaofanyakazi na watu wenye mafaili kama haya hali ambayo wakati fulani husababisha kazi zidumae au ziende haraka haraka kwa mategemeo wapate muda wa kuyafungua mafaili hayo.
Tusiwaonee haya watu wenye mafaili hayo,wengine hawana mafaili haya ila utendaji wao wa kazi unatufanya tuhisi kuwa wana mafaili haya na mengine yenye bidhaa nyingine kabisa ndani yake.
Ushauri wangu kwa wadau ni kwamba tusipekue mafaili yenye rangi hizi wengine wameaga kwao,wengine mafaili haya yanatoa ulinzi kwao na wengine yanabeba siri nzito za kampuni,ofisi n.k.
Ni hayo tu wadau mnaweza ungana nami katika hili kwa kuchangia maoni yako.

No comments:

Post a Comment