Thursday, September 24, 2009

NYUMBA ILIYOJENGWA KWA HERUFI.......Hizi ni baadhi ya sehemu za nyumba hii iliyojengwa kwa herufi,Mainjinia wa Kiafrika hususan wa Tanzania mpo hapo?

3 comments:

  1. Ama kweli huu ni ubunifu kweli. Je ni muda gani ilichukua kujenga nyumba hiyo?

    ReplyDelete
  2. mdau kweli hapa jamaa walibuni, vipi kuhusu matirial zilizotumika kwenye ujenzi huu?

    ReplyDelete
  3. ubunifu umefanyika katika kuchora sio kujenga. it is an artwork not a civil one, according to me, but.

    ReplyDelete