Friday, October 9, 2009

DU!! HATA HIVYO NAOMBA NIWATAKIENI WIKIENDI NJEMA.....


Kimya changu cha muda mrefu wadau kimetokana na kutingwa na shughuli hii nikiwa nje ya ofisi kama mwanaburudani kazi yangu ilikuwa kuburudisha wadau wa rika zote.

Hivi nimepata kaupenyo kadogo na kufanikiwa kutoroka ili nije kuwasalimia wadau,hamjambo lakini??

2 comments:

  1. Twafurahi kama u mzima kwani hata sie "mimi " ni mzima ila tu kuna kaubaridi hapa sasa.weekend NJEMA

    ReplyDelete
  2. HI BRO MAPUMZIKO MEMA NA KARIBU SANA SHEIN RANGERS

    ReplyDelete