Sunday, October 11, 2009

RAHA YA USHINDI!!



Kocha wa timu ya taifa ya Argentina Diego Almando Maradona akishangilia kwa furaha kubwa baada ya timu yake kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya timu ya taifa ya Peru.

Hata hivyo mambo bado ni magumu kwa timu hiyo kuweza kukata tiketi ya kushiriki fainali za kombe la duni 2010 zinazotarajiwa kufanyika katika ardhi ya Afrika kw mara ya kwanza.

Argentina inahitaji kushinda mchezo wake wa mwisho dhidi ya Uruguay.

2 comments:

  1. bado mjomba amekalia kuti kavu ingawa vijana wamemtoa kimasomaso

    ReplyDelete
  2. Basi tuungane nae hata kwa maombi kwani yalomkuta huyu kidogo yanafanana na ya kwetu japokuwa historia hazifanani

    ReplyDelete