Wednesday, December 16, 2009

PURUKUSHANI NA RAHA ZA MABUNGE ULIMWENGUNI!!!

Hizi ni purukushani ndani ya bunge la kule nchini Italia.



Hizi ni bunge la nchini Mexico.



Hizi kule nchini Urusi.



Hizi ni ndani ya bunge la Somalia.



Hizi ni ndani ya bunge la Korea.



Na hapa ni za ndani ya bunge la Ufaransa



Taiwan nao wabunge wao hawako nyuma.



Humu ni ndani ya bunge la Uturuki (Turkey).



Roba nje nje ndani ya bunge la Ukrain.



Na hapa chini ni Malaysia,kama bongo vile ngoma kulala kwa kwenda front inawezekana kama wewe si mtu wa kusleep huwezi kuwa mbunge katika bunge la Malaysia au la Tan............ malizia basi mdau.



Nidondoshee maoni yako ndugu mdau ni bunge lipi tunapaswa kuiga mfano wake?

1 comment:

  1. Kaka Allen
    Kwa niaba ya familia yangu na wapenda mema wote nakutakia kila lililo jema wakati huu wa sikukuu na usalama kuelekea mwaka mpya
    Baraka kwako

    ReplyDelete