Monday, March 29, 2010

HAWA NDIO WANA NDOA BORA MWAKA 2009.


Wanatajwa kuwa ndio wana ndoa bora kwa mwaka 2009 huko nchini China.
Katika pita pita zangu na kuhoji wadau kuhusiana na picha hii nilikutana na maoni kadha wa kadha lakini lililonigusa hadi nikafikia hatua ya kuweka kijijini picha hii ni kuna baadhi ya wadau wanadai kuwa huenda wanyama wakawa wamestaarabika zaidi kuliko wanadamu.
Binafsi bado naumia kichwa kuhusiana na suala hili kiasi hata nyakati usiku huwa nastuka kutoka usingizini na kujhoji inakuwaje hii?
Sijajua wewe mdau una maoni gani kuhusiana na oni hili??mwaga sera zako hapa chini nijifunze kupitia kwako.

1 comment:

  1. Kwa upande wangu ase nawapa big up mbaya wamepiga bonge la atuwa hii ni poa sana.

    ReplyDelete