Tuesday, April 20, 2010

NI NINI KILIFUATA HAPA??


Wadau wa mchezo wa ng'ombe wakimkimbia mnyama huyo aliyepandwa na hasira huku pembe zake zikiwaka moto.
Tukio hili limetokea huko nchini Hispania katika eneo la Cretas wakati wa burudani ya fiesta inayojulikana kama Fiesta Del Toro,Cretas.

2 comments:

  1. I am doing research on blogs and I would like to send u few questions. Can u help? If you are willing please send me your email, because it is not shown in your blog. My email is "njonjo.kweja@gmail.com" I am njonjo mfaume, tutorial assistant at School of Journalism of the University of Dar es Salaam, and MA Journalism student at Makerere University.

    ReplyDelete