Sunday, May 16, 2010

HAWA PIA WALIKUWEPO NDANI YA KITONGA.


Bonnie Zacharia "Bonny Sly" naye alikuwepo.

Meneja Ngedere,Edwin Bashir (katikati)Bonnie Sly wakibadilishana mawazo.

Baadhi ya warembo watakaoshiriki kipute cha kumtafuta mrembo wa Iringa wakipata mlo wa mchana ndani ya Kitonga baada ya safari ndefu ya kutoka Iringa mjini.
Ruksa kuonesha ushirikiano hasa mida ya mchana(lunch time)
Bonnie Sly akionesha ufundi wake mezani sio kwenye Pioneer pekee.

Mbunge Tekenya (Mwalubadu) akijazia zia kabla ya kwenda kuwahutubia wananchi wake siku ya jumatatu kupitia Ebony Fm.
Edwin Bashir,Bonnie wakiwa katika foleni ya msosi ndani ya mgahawa wa Kitonga anayefuatia kushoto ni mshiriki wa mashindano ya mrembo wa mkoa wa Iringa mwaka 2010.

Kula lazima lakini kuoga hiyari,Mwalubadu,Edwin Bashir,Bonnie Sly na baadhi ya warembo watakaoshiriki Miss Iringa 2010 wakiwa katika foleni ya msosi.

Mwalubadu inatosha si uende tu??

3 comments:

  1. salama boss, huyo jamaa Bonnie ni rafiki yangu niliyepoteana nae, yapata miaka 5 sasa bila kuwasiliana, tafadhali naomba simu namba yake au mwambie aongee nami kwa kutumia sim no. +46734784168. hata kwa msg tu ani text, nitampigia any time! mdau wa musoma.

    ReplyDelete
  2. mamboz phily phab hajambo?

    ReplyDelete