Friday, December 17, 2010

NANI MCHOKOZI HAPA??3 comments:

  1. Hahahaa mjeshi katoka nduki.....Huyo tembo ndio mchokozi sasa gari limekosea nini? heheheee.Just kidding hao watu ndio wachokozi.

    ReplyDelete
  2. DUH! Ikifikia mpaka mnyama mwoga kama Pundamilia anatoa mtu baruti basi lazima mchokozi ni mtu hapo!

    ReplyDelete
  3. Alieingilia makazi ya mwenzake ndiye mgomvi

    ReplyDelete