Tuesday, December 14, 2010

DAR SH 150/= WAHARAKA TWENZETU..........

6 comments:

 1. Kaka umeona eeh??

  ReplyDelete
 2. Kweli tumetoka mbali hapo mama ataita mpaka atachoka

  ReplyDelete
 3. Mambo ya zamani ni mazuri na pia hayana gharama. mbu mbu mbuuu, mi nataka nikae mbele na dereva ili nifike haraka bwana .....ha haha ha haaa nimekumbuka sana hii...

  ReplyDelete
 4. Hatari lakini salama.Raha ya utoto.Furaha ya ugunduzi.Picha hii inanikumbusha enzi zangu nilipokuwa nathubutu bila kusita.Siku hizi eti lazima nijiulize maswali chungu tele ndipo nitende jambo.Utoto raha bwana!

  ReplyDelete