Thursday, June 4, 2009

WAREMBO HAO!!!!


Baadhi ya warembo wanaotarajiwa kuumana vikali siku ya kesho katika mtanange wa kumpata MISS IRINGA 2009 wakiwa katika mahojiano maalum ndani ya Studio za Ebony Fm.

1 comment: