Saturday, July 4, 2009

MTEMBEA BURE SI SAWA NA MKAA BURE!!


Sikuelewa mazungumzo ya dereva wa daladala hii na jamaa huyu mwenye kofia nyeupe yalikuwaje lakini mwisho wa yote jamaa aliweka kishoka siti ya mbele kabisa ya daladala hii na safari ya kuelekea hukooooo......ikaanza.

Hapa ni eneo la miyomboni Iringa mjini moja ya maeneo yenye pilika pilika za kila aina.

No comments:

Post a Comment