Monday, August 24, 2009

HUYU NDIYE MISS UNIVERSE MWAKA 2009!!



Mrembo kutoka nchini Venezuela ameibuka mshindi wa shindano la urmbo la Miss Universe.

Mrembo huyo Stefania Fernandez amechukua taji hilo la ulimbwende lililofanyika katika visiwa vya Bahamas.

Ni mara ya pili sasa kwa warembo kutoka nchini humo kushinda taji hilo.

Mwaka 2008 Dayana Mendoza alikuwa ni mshindi aliyemtangulia mshindi huyo wa mwaka huu.
Mashindano hayo yaliwashirikisha warembo kutoka nchi mbalimbali zaidi ya nane ulimenguni .



Huyu ndio mrembo aliyeiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo ya Miss Universe Illuminata James ambaye hata hivyo hakufanya vizuri baada ya kuambulia nafasi ya sabini na sita (76).

No comments:

Post a Comment