Tuesday, August 25, 2009

TRENI ZINAZONING'INIA HUKO UJERUMANI.



Moja kati ya treni hizo hapa ikiwa kituoni tayari kuanza safari zake za kawaida.



Safari yaendelea wadau mwendo wa juu kwa juu.



Hakuna kusubiri ipite,ina njia yake maisha ya wengine yanaendelea kama kawaida.



Ikikata mitaa.





Safari yaendelea.



Wala hawana habari,hofu kwamba huenda hili jidubwana likawaangukia,wataalamu wa hapa nyumbani Tanzania na Afrika kwa ujumla kwanini na sisi tusiitangaze ile sayansi yetu ya asili ya kupaa na ungo na hatimaye tuishangaze dunia?

Naamini kile kifaa(ungo) kiko fasta zaidi kuliko hata hizi treni,ndege,boti na meli ambazo zinaathari kwa mazingira.

imekaaje hii mdau dondossha maoni yako hapa tujifunze kupitia kwako.

1 comment:

  1. aise ! kazi kwelikweli sisi bado tunaenda na zile zile za mwaka arobaini na saba. nakumbuka nilitaka kusafiri Dar -Makambako nilishindwa kwani kulikuwa siku hakuna tren liendalo huku. Maisha haya kazi kweli kweli ila tutafika tu.

    ReplyDelete