Tuesday, May 1, 2012

WAUME BORA WA MWAKA.....

Huyu ni mume wa Kiingereza ambae anaona baiskeli yake ni muhimu zaidi ya mke wake.

Huyu ni mume wa Kimarekani yeye anaonesha wazi ubinafsi wake na kupenda kwake starehe.

Huyu ni mume wa kule nchini Poland hana muda kabisa na mkewe.

Mume wa Kigiriki anataka kufanana kiubabe na Babu yangu kule Mbwinde.

Huyu ni mume kutoka kule Ireland,haya sasa kazi kwenu dada zetu wakati mnachagua waume angalieni msije chagua kutoka katika mataifa haya hapo juu japokuwa si wote wako hivyo lakini umakini unatakiwa zaidi.

1 comment:

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete