Friday, December 21, 2012

Klitschkos: We hope all your wishes come true.

Wladimir na  Vitali Klitschko katika picha ya pamoja. 


Wladimir na  Vitali Klitschko wametuma salamu zao za sikukuu ya Christmass kwa mashabiki na wapenzi wa mchezo wa ngumi ulimwenguni.

Hata hivyo katika salamu hizo jamaa hawakuweka bayana mipango yao ya mwaka 2013 katika mchezo wa ngumi.

Mwaka huu ulikuwa mzuri kwa ndugu hao baada ya kufanya vizuri katika mapambano matano ya ngumi yaliyohusisha ubingwa wa dunia.

1 comment:

  1. These are really great ideas in about blogging.
    You have touched some nice points here. Any way keep up wrinting.
    my web site :: Exhaust fan

    ReplyDelete