Mchezaji wa zamani wa Chelsean Adrian Muttu
Mchezaji wa zamani wa klabu ya soka ya Uingereza Chelsea
Adrian Mutu ameeleza nia yakwe ya kumuasili mtoto aliyenusurika kufa kimiujiza baada
ya kutupwa chooni huko nchini China.
Mtoto huyo
aliokolewa na waokoaji katika mji wa Jinhua uliopo katika jimbo la mashariki la Zhejiang nchini china baada
kukatwa kwa bomba la maji taka aliponasa baada ya kutupwa na mama yake baada ya
kujaribu kujifungua kwa siri.
Habari za
kutupwa kwa mtoto huyo zilisambaa kwa haraka duniani kote baada ya kutolewa kwa
picha za video zilizowaonesha waokoaji na watumishi wa kikosi cha zima moto
walipokuwa katika jitihada za kumuokoa mtoto huyo kwa kujaribu kukata bomba
lenye ukubwa wa kipenyo cha sentimita 10 kwa kutumia mamba(pliers) na misumeno.
Baada ya
kusambaa kwa kasi kwa taarifa za mtoto huyo hatimaye mapema hii leo amejitokeza
Adrian Mutu mcheza soka wa zamani wa klabu ya Chelsea aliyejiunga na timu hiyo
kwa dau la paundi milioni 15.8 mwaka 2003 kabla hajatimuliwa klabuni hapo baada
ya kushindwa kufanyiwa vipimo alivyokuwa afanyiwe ili kuthibitisha kama hatumii
madawa ya kuongeza nguvu.
Mchezaji huyo
raia wa Romanian amekiambia kituo kimoja cha televisheni nchini mwake cha channel
ProTV nia yake ya kumuasilia mtoto huyo.
Mutu baba wa
watoto watatu amesema kwa sasa yuko katika majadiliano na mke wake Consuelo ili
kuona ni namna gani wanaweza kuwasiliana na wazazi halali wa mtoto huyo ili
waweze kuingia makubaliano ya kisheria yatakayowawezesha kumuasili mtoto huyu.
Licha ya nia nzuri ya mchezaji huyo anaeichezea klabu ya AC Ajaccio ya Corsica kutaka kumuasili mtoto huyo huenda akakumbana na vikwazo baada ya nchi yake ya Romania kutokuwemo katika listi za nchi 17 ambazo haziwezi kuasili watoto kutoka nchini China.
Mutu,34 amekiambia
kituo cha televisheni cha channel ProTV kuwa baada ya kuiona video hiyo hakuona
sababu za kuendelea kuishi na kufurahia kifungua kinywa kila asubuhi kwa kuwa
mtoto huyo ni shujaa na atafanya kila lililo ndani ya uwezo wake ili kumuasilia
mtoto huyo kwa kuwa anaamini ameletwa kwake na mungu.
|
Thursday, May 30, 2013
ADRIAN MUTTU ATAKA KUMUASILI MTOTO ALIYETUPWA CHOONI HUKO CHINA....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Incroyablemеnt captivant, je crois quue ce post intéresseraіt une potе
ReplyDeleteAlso visit my weblog - sexe français
I came across the serach engine and find your website, you have great and nice blog, Thanks for sharing, God bless you
Deletejual kondom
Obat Perangsang Wanita
Thak You Artikel ya Bagus Gan
ReplyDeleteok, Thak You Artikel ya Bagus Gan
ReplyDeletegreetings
ReplyDeleteobat perangsang | obat kuat | alat bantu sex
kuşadası
ReplyDeleteçeşme
didim
muğla
trabzon
5QRT