Wanasema inawezekana kisiwa kikawa cha kwako lakini maji ninayamiliki mimi.
Thursday, June 4, 2009
WAREMBO HAO!!!!
Baadhi ya warembo wanaotarajiwa kuumana vikali siku ya kesho katika mtanange wa kumpata MISS IRINGA 2009 wakiwa katika mahojiano maalum ndani ya Studio za Ebony Fm.
Aaaaaaaah mamiss wetu mwaka huu wamezubaa.
ReplyDelete